TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Simba Wanyika

The Typologically Different Question Answering Dataset

Simba Wanyika  ilikuwa bendi nchini Kenya iliyoundwa mwaka wa 1971 na wana ndugu kutoka Tanzania, Wilson Kinyonga na George Kinyonga. Bendi hii ilivunjika mwaka wa 1994. Simba Wanyika na bendi zingine mbili zilizotoka kwayo, Les Wanyika na Super Wanyika Stars, zilikuwa bendi mashuhuri sana nchini Kenya. Muziki wao uliotokana na sauti ya gitaa, ikiongozwa na mpiga gitaa wa Soukous, Dr Nico,ikichanganywa na maneno matamu ya muziki wa rumba na kuimbwa kwa Kiswahili. Simba wa nyika  tafsiri yake kwa Kiingereza ni "Lions of the Savannah". 

Bendi ya Les Wanyika ilianza na wana bendi wangapi?

  • Ground Truth Answers: Wilson Kinyonga na George Kinyonga

  • Prediction:

Wilson Kinyonga na George Kinyonga walianza muziki katika mji wao wa nyumbani wa Tanga nchini Tanzania walipojiunga na Jamhuri Jazz Band mwaka wa 1966. Walihamia Arusha mwaka wa 1970 na kuunda bendi ya Arusha Jazz na ndugu yao mwingine, William Kinyonga. Katika kipindi hiki, wanamuziki walikuwa wakisafiri watakavyo  kati ya Kenya na Tanzania, na muziki wa Kenya ukashawishika sana na muziki wa rumba wa Tanzania. Mwaka wa 1971 ndugu hawa walihamia nchini Kenya na kuanzisha Simba Wanyika. Bendi ilitumbuiza katika vilabu vya usiku na baa mbalimbali katika jiji la Nairobi, nakupata wafuasi wengi mno, na katikati ya miaka ya 1970, walikuwa wanajulikana kote Kenya, kwa ajili ya nyimbo kama "Mwongele" na "Wana Wanyika".  

Bendi ya Les Wanyika ilianza na wana bendi wangapi?

  • Ground Truth Answers: Wilson Kinyonga na George Kinyonga

  • Prediction: